Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
April 22, 2023
Kitaifa
Rais Samia ahutubia Baraza la Eid El Fitr kitaifa Dar es Salaam
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia ahutubia Baraza la Eid El Fitr kitaifa Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislamu kwenye Baraza la Eid El-Fitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Aprili, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt. Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuhudhuria Baraza la Eid El-Fitr tarehe 22 Aprili, 2023. Wengine katika picha ni Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Alhad Omar pamoja na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Kiislamu Mama Shamim Khan
Viongozi mbalimbali pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiwa kwenye Baraza la Eid ambalo Kitaifa limefanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Aprili, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kwenye Baraza la Eid El-Fitr ambalo Kitaifa limefanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Aprili, 2023.
Post Views:
273
Previous Post
Tanzania kushirikiana na Korea Kusini kujenga shule ya filamu
Next Post
Simba 1-0 Wydad Casablanca
Rais Samka afanya teuzi za Majaji wa Mahakama za Rufani
Serikali kuendelea kupokea maoni Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050
Mchakato wa Dira 2050 waanza, AZAKI watoa maoni
Waziri Mkuu awasili Uganda kumwakilisha Rais Samia mkutano wa kilimo
Dk Mpango: Tanzania inathamini ushirikiano wake na Marekani
Habari mpya
Rais Samka afanya teuzi za Majaji wa Mahakama za Rufani
Serikali kuendelea kupokea maoni Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050
Mchakato wa Dira 2050 waanza, AZAKI watoa maoni
Waziri Mkuu awasili Uganda kumwakilisha Rais Samia mkutano wa kilimo
Dk Mpango: Tanzania inathamini ushirikiano wake na Marekani
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yachunguza vifo vya watu wawili Pemba
Tanzania, Japan zatia saini hati ya makubaliano ushirikiano miradi ya afya nchini
RC Makonda autaka uongozi Jiji Arusha kuwapa kipaumbele wazawa
Wizara ya Elimu mbioni kuzindua mitaala mipya iliyoboreshwa
Mwinyi: Zanzibar itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji sekta ya Uchumi Buluu
REA yaendelea ilipoishia umeme nyumba kwa nyumba
Mahakama ya Juu Marekani yakataa ombi la Trump la kusitisha hukumu dhidi yake
Dk Gwajima aagiza kuundwa kamati za ulinzi wa watoro
Jokate awapa tano vijana kwa maandalizi mazuri ya Mkutano Mkuu CCM
Polisi wathibitisha kumshikilia Dk Silaa