Rais Samia afungua ujenzi wa Ghala la nafaka Luhimba
JamhuriComments Off on Rais Samia afungua ujenzi wa Ghala la nafaka Luhimba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Ghala la nafaka Luhimba kwa niaba ya maghala ya kuhifadhia nafaka yanayojengwa mkoani Ruvuma wakati wa muendelezo wa ziara yake Mkoani humo tarehe 24 Septemba, 2024.