Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
November 28, 2022
Habari Mpya
Rais samia afungua mkutano wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)
Jamhuri
Comments Off
on Rais samia afungua mkutano wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Chama pamoja na Serikali wakati akiwasili kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma kwa ajili ya kufungua Mkutano wa 10 wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) tarehe 28 Novemba, 2022.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Viongozi mbalimbali wa Chama pamoja na Wanachama wakiimba nyimbo za CCM mara baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma kwa ajili ya kufungua Mkutano wa 10 wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) tarehe 28 Novemba, 2022
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi, wageni mbalimbali pamoja Wajumbe wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kabla ya kufungua Mkutano wa 10 wa Jumuiya hiyo uliofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 28 Novemba, 2022

Bendi ya Tanzania One Theatre (TOT) ikitumbuiza kwenye Mkutano wa 10 wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika kwenye katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 28 Novemba, 2022.
Post Views:
296
Previous Post
Mwenyekiti CCM Rais Samia afungua mkutano wa 10 UWT
Next Post
Tanzania kunufaika na mpango wa usimamizi endelevu wa rasilimali za bahari
Watoto mapacha wamuua mama yao mzazi
Waliokaidi ukaguzi magari ya shule wakamatwa Arusha
Bilioni 5 kujenga soko la kimataifa Missenyi
Baba atuhumiwa kuua watoto wawili
Wazima moto wapambana kuzuia moto mkubwa Los Angeles
Habari mpya

-Tanzania ipo tayari kupokea wakuu wa nchi Afrika katika mkutano wa Nishati wa Mision 300′
Matumizi ya Baruti yaongezeka nchini
Wananchi wampongeza Rais Samia kufikisha umeme vituo vya afya vijijini
Simba yazidi kuchanja mbuga
Balozi Nchimbi amjulia hali Mzee Mangula
Maria Sarungi atekwa Nairobi
TMA yatoa angalizo ya hali ya hewa mbaya kwa siku tano
Rais Dkt. Samia ashiriki maadhimisho ya kilele cha Miaka 61, ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Kisiwa cha Mayotte kukabiliwa na kimbunga kipya Jumamosi
Watu 21 wauawa katika shambulizi la genge nchini Nigeria