Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
July 16, 2024
MCHANGANYIKO
Rais Samia afungua jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo Rukwa
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia afungua jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo Rukwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo tarehe 16 Julai, 2024. Rais Dkt.Samia anaendelea na Ziara yake ya kikazi Mkoani Rukwa ambapo pamoja na mambo mengine atazindua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kama ishara ya kufungua jengo la Utawala Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo tarehe 16 Julai, 2024. Mhe. Rais Dkt. Samia anaendelea na Ziara yake ya kikazi Mkoani Rukwa ambapo pamoja na mambo mengine atazindua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Ujenzi wa jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo kutoka kwa Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa kabla ya ufunguzi tarehe 16 Julai, 2024.
Taswira ya Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo ambalo limefunguliwa na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 16 Julai, 2024.
Post Views:
209
Previous Post
Matembezi ya utulivu rasmi kufanyika Julai 20
Next Post
RPC Mtatiro azindua kampeni ya usambazaji nishati ya kupikia nchini kati ya G4S na Oryx Gas
‘Maumivu ya kifua upande wa kushoto hutokana na tatizo la mshtuko wa moyo’
Naibu Katibu Mkuu uchukuzi atembelea ofisi za TMA
Miss Universe Afrika Kusini avuliwa uraia
Rais Samia ateua viongozi mbalimbali
Rais Samia amlilia Mkuu wa Majeshi wa zamani nchini
Habari mpya
‘Maumivu ya kifua upande wa kushoto hutokana na tatizo la mshtuko wa moyo’
Naibu Katibu Mkuu uchukuzi atembelea ofisi za TMA
Miss Universe Afrika Kusini avuliwa uraia
Rais Samia ateua viongozi mbalimbali
Rais Samia amlilia Mkuu wa Majeshi wa zamani nchini
Mwakinyo atamba kumpasua ‘Kiduku’
JK aendeleza juhudi kukuza sekta ya maji barani Afrika
Rais Samia kuhudhuria mjadala Marekani
Mradi wa bilioni 60/-kuleta mapinduzi ya huduma za usafiri Ziwa Victoria
Serikali kuthamini taaluma ya wabunifu majengo na wakadiriaji majenzi
Polisi yatoa onyo wanaosajili laini za simu kwa kutumia NIDA za watu wenginge
Bibi harusi aanguka na kufa ghafla ukumbini
Hezbollah yamtangaza Naim Qassem kuwa kiongozi wake mpya
Wadau wakutana Arusha kujadili bima ya afya kwa wote
Vijiji vyote Newala vimefikiwa na umeme – Kapinga