Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
July 16, 2024
MCHANGANYIKO
Rais Samia afungua Barabara ya Sumbawanga, Matai-Kasanga Rukwa
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia afungua Barabara ya Sumbawanga, Matai-Kasanga Rukwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa barabara ya Sumbawanga-Matai- Kasanga (km107) iliyojengwa kwa kiwango cha lami. Hafla ya ufunguzi wa barabara hiyo imefanyika Matai Wilayani Kalambo Mkoani Rukwa tarehe 16 Julai, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Sumbawanga-Matai- Kasanga (km107) iliyojengwa kwa kiwango cha lami. Hafla ya ufunguzi wa barabara hiyo imefanyika katika eneo la Matai Wilayani Kalambo Mkoani Rukwa tarehe 16 Julai, 2024.
Taswira ya Barabara ya Sumbawanga- Matai-Kasanga (km107) iliyojengwa na kukamilika kwa kiwango cha lami
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Matai katika Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa mara baada ya kufungua barabara ya Sumbawanga- Matai-Kasanga (km107), tarehe 16 Julai, 2024.
default
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Barabara ya Sumbawanga-Matai-Kasanga (km107) iliyojengwa na kukamilika kwa kiwango cha lami katika eneo la Matai tarehe 16 Julai, 2024.
Wananchi wa Matai, Kalambo Mkoani Rukwa wakiwa kwenye mkutano wa hadhara pamoja na hafla ya ufunguzi wa Barabara ya Sumbawanga-Matai-Kasanga (km107) iliyojengwa na kukamilika kwa kiwango cha lami katika eneo la Matai tarehe 16 Julai, 2024.
Post Views:
314
Previous Post
Trump amchagua JD Vance kama mgombea mwenza wake
Next Post
Matembezi ya utulivu rasmi kufanyika Julai 20
‘Maumivu ya kifua upande wa kushoto hutokana na tatizo la mshtuko wa moyo’
Naibu Katibu Mkuu uchukuzi atembelea ofisi za TMA
Miss Universe Afrika Kusini avuliwa uraia
Rais Samia ateua viongozi mbalimbali
Rais Samia amlilia Mkuu wa Majeshi wa zamani nchini
Habari mpya
‘Maumivu ya kifua upande wa kushoto hutokana na tatizo la mshtuko wa moyo’
Naibu Katibu Mkuu uchukuzi atembelea ofisi za TMA
Miss Universe Afrika Kusini avuliwa uraia
Rais Samia ateua viongozi mbalimbali
Rais Samia amlilia Mkuu wa Majeshi wa zamani nchini
Mwakinyo atamba kumpasua ‘Kiduku’
JK aendeleza juhudi kukuza sekta ya maji barani Afrika
Rais Samia kuhudhuria mjadala Marekani
Mradi wa bilioni 60/-kuleta mapinduzi ya huduma za usafiri Ziwa Victoria
Serikali kuthamini taaluma ya wabunifu majengo na wakadiriaji majenzi
Polisi yatoa onyo wanaosajili laini za simu kwa kutumia NIDA za watu wenginge
Bibi harusi aanguka na kufa ghafla ukumbini
Hezbollah yamtangaza Naim Qassem kuwa kiongozi wake mpya
Wadau wakutana Arusha kujadili bima ya afya kwa wote
Vijiji vyote Newala vimefikiwa na umeme – Kapinga