Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Daraja la Mto Ruaha Mkuu upande wa Kilosa kabla ya Ufunguzi wa Barabara ya Kidatu-Ifakara yenye urefu wa kilomita 66.9 pamoja na na Daraja la Mto Ruaha Mkuu lenye urefu wa mita 133 tarehe 4 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Barabara ya Kidatu-Ifakara yenye urefu wa kilomita 66.9 pamoja na na Daraja la Mto Ruaha Mkuu lenye urefu wa mita 133 tarehe 4 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria Ufunguzi wa Barabara ya Kidatu-Ifakara yenye urefu wa kilomita 66.9 pamoja na Daraja la Mto Ruaha Mkuu lenye urefu wa mita 133 ,tarehe 4 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Barabara mara baada ya hafla ya ufunguzi wa Barabara ya Kidatu-Ifakara yenye urefu wa kilomita 66.9 pamoja na na Daraja la Mto Ruaha Mkuu lenye urefu wa mita 133, tarehe 4 Agosti, 2024.
a la Mto Ruaha Mkuu lenye urefu wa mita 133 ambalo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefungua, tarehe 4 Agosti, 2024.
ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kiwanda cha Sukari Kilombero (K4), tarehe 4 Agosti, 2024.
default
default