Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
August 15, 2022
Kitaifa
Rais Samia afunga mafunzo ya awali ya askari wa Uhamiaji
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia afunga mafunzo ya awali ya askari wa Uhamiaji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Hamad Masauni kabla ya kufungua Mafunzo ya Awali Kozi Na. 1,2022 ya Jeshi la Uhamiaji katika Hafla iliyofanyika Chuo cha Uhamiaji Boma Kichakamiba Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga tarehe 15 Agosti, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipanda mti mbele ya Jengo la Ofisi za Chuo cha Jeshi la Uhamiaji Boma Kichakamiba Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga, alipowasili Chuoni hapo kwa ajili ya kufunga Mafunzo ya Awali ya Askari 820 wa Jeshi la Uhamiaji tarehe 15 Agosti, 2022
ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi na Askari wahitimu wa Mafunzo ya Awali Kozi Na. 1,2022 ya Jeshi la Uhamiaji pamoja na Wananchi katika Hafla ya Ufungaji wa Mafunzo hayo iliyofanyika katika Chuo cha Uhamiaji Boma Kichakamiba Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga tarehe 15 Agosti, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria kuweka Jiwe la Msingi wa Ujenzi wa Chuo cha Mafunzo ya Jeshi la Uhamiaji Boma Kichakamiba Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga tarehe 15 Agosti, 2022
Post Views:
470
Previous Post
Wananchi watakiwa kutunza misitu ilete fursa
Next Post
Rais Mwinyi azungumza na madaktari wa Korea
Nyabiyonza FC yaibuka kidedea dhidi ya Nyuki FC
Majaliwa aipongeza Wizara ya Ujenzi kurejesha mawasiliano barabara Kuu Manyara – Singida
Kampeni ya Mama Samia yapatiwa magari 10
DK. Mwinyi aweka jiwe la msingi Flyover Kwerekwe
‘Maslahi ya waandishi yameboreshwa’
Habari mpya
Nyabiyonza FC yaibuka kidedea dhidi ya Nyuki FC
Majaliwa aipongeza Wizara ya Ujenzi kurejesha mawasiliano barabara Kuu Manyara – Singida
Kampeni ya Mama Samia yapatiwa magari 10
DK. Mwinyi aweka jiwe la msingi Flyover Kwerekwe
‘Maslahi ya waandishi yameboreshwa’
Serikali yakusanya bilioni 325.3 tangu DPW waanze kazi bandari ya Dar es Salaam
Tanzania, Saudi Arabia kuimarisha ushirikiano sekta ya nishati
Mshindi wa mashindano ya Gofu ya Lina PG Tour kujulikana kesho kutwa
Balozi Nchimbi awasili Nzega, azindua ukumbi wa mikutano
Wawekezaji wakaribishwa Kagera
Ujenzi mradi wa kufua umeme wa bwawa la Julius Nyerere mbioni kukamilika
REA kusambaza mitungi ya gesi 13,020 kwa bei ya ruzuku Shinyanga
Rais Samia mgeni rasmi maadhimisho miaka 25 ya TAWJA
Dk Biteko apongeza Tamasha Ijuka Omuka
Polisi watoa ufafanuzi kuhusu mchezaji Bernad Morrison