




Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Watayarishaji maarufu wa Filamu wa Jamhuri ya Korea na Waandaaji wa Filamu wa Tanzania mara baada ya kuzungumza nao Jijini Seoul tarehe 01 Juni, 2024. Mhe. Rais Samia yupo Jamhuri ya Korea kwa ya ziara ya kikazi.