Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
October 19, 2023
Habari Mpya
Rais Samia afanya mazungumzo na Askofu Mwadhama Kardinali Rugambwa mkoani Tabora
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia afanya mazungumzo na Askofu Mwadhama Kardinali Rugambwa mkoani Tabora
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Askofu Mkuu Mwandamizi Jimbo Kuu Katoliki la Tabora Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa mara baada ya kuwasili katika Makazi yake Uaskofuni Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Askofu Mkuu Mwandamizi Jimbo Kuu Katoliki la Tabora Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa mara baada ya kuwasili katika Makazi yake Uaskofuni Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023. Rais Samia alifika katika Makazi ya Baba Askofu Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa kwa ajili ya kumpongeza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki Tabora Mhashamu Baba Askofu Mkuu Paul Ruzoka mara baada ya kuwasili Uaskofuni Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na ujumbe wake akiwa kwenye Kikao na Askofu Mkuu Mwandamizi Jimbo Kuu Katoliki la Tabora Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa, Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki Tabora Mhashamu Baba Askofu Mkuu Paul Ruzoka pamoja na ujumbe wao katika Makazi ya Baba Askofu Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Askofu Mkuu Mwandamizi Jimbo Kuu Katoliki la Tabora Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa mara baada ya mazungumzo yao katika Makazi yake Uaskofuni Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Askofu Mkuu Mwandamizi Jimbo Kuu Katoliki la Tabora Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa, Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki Tabora Mhashamu Baba Askofu Mkuu Paul Ruzoka mara baada ya mazungumzo yao katika Makazi yake Uaskofuni Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na ujumbe wake wakati wakiombewa na Askofu Mkuu Mwandamizi Jimbo Kuu Katoliki la Tabora Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa Mkoani Tabora.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Askofu Mkuu Mwandamizi Jimbo Kuu Katoliki la Tabora Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa mara baada ya mazungumzo yao.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiimba pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St. Mary’s ya Mkoani Tabora wakati alipokwenda kumtembelea Askofu Mkuu Mwandamizi Jimbo Kuu Katoliki la Tabora Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa, tarehe 18 Oktoba, 2023. Shule hiyo ndiyo Shule ya Kwanza ambayo Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alifundisha kwa miaka mitatu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari St. Mary’s ya Mkoani Tabora wakati alipokwenda kumtembelea Askofu Mkuu Mwandamizi Jimbo Kuu Katoliki la Tabora Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa, tarehe 18 Oktoba, 2023. Shule hiyo ndiyo Shule ya Kwanza ambayo Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alifundisha kwa miaka mitatu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpa zawadi ya joho Askofu Mkuu Mwandamizi Jimbo Kuu Katoliki la Tabora Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa mara baada ya kuwasili katika Makazi yake Uaskofuni Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.
Post Views:
261
Previous Post
TMA yatoa angalizo la hali ya hewa mbaya kwa siku tano
Next Post
Watanzania waliokuwa Israel warejeshwa nyumbani
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
INEC yaboresha Daftari la Kudumu Mpiga Kura
Habari mpya
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
INEC yaboresha Daftari la Kudumu Mpiga Kura
Meja Jenerali Martin Busungu afariki dunia
Polisi wajipanga kuimarisha ulinzi na usalama msimu wa sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya
CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua
Chombo cha anga za juu cha NASA chajaribu kuweka historia kwa kuwa karibu zaidi na jua
NEMC yaonya kelele, uchafuzi wa mazingira wakati wa sikukuu
Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton alazwa hospitalini
Israel yakiri kumuua Ismail Haniyeh
Mwinyi: SMZ itaendelea kuleta mageuzi katika Mahakama
Benki ya Dunia, SADC zampa tano Rais Samia
Kuelekea msimu wa sikukuu wazazi, walezi watakiwa kuwajibika kwenye malezi ya watoto