Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
November 16, 2024
MCHANGANYIKO
Rais Samia aenda Brazil kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na wanachama G20
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia aenda Brazil kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na wanachama G20
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) tarehe 16 Novemba, 2024 kabla ya kuelekea Rio de Janeiro nchini Brazil kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa kundi la G20. Rais Dkt. Samia amealikwa na Rais wa Brazil Mhe. Luiz IĆacio Lula da Silva ambapo pamoja na mambo mengine, atashiriki mijadala inayolenga kuimarisha ushirikiano wa kimataifa katika mapambano dhidi ya njaa na umasikini, kuchochea maendeleo endekevu na matumizi ya nishati mbadala.
Post Views:
113
Previous Post
Bondia Jake Paul amkanda Mike Tyson
Next Post
IGP Wambura awahakikishia usalama kuelekea Uchaguzi Serikali za Mitaa
INEC yaboresha Daftari la Kudumu Mpiga Kura
Meja Jenerali Martin Busungu afariki dunia
Polisi wajipanga kuimarisha ulinzi na usalama msimu wa sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya
CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua
Chombo cha anga za juu cha NASA chajaribu kuweka historia kwa kuwa karibu zaidi na jua
Habari mpya
INEC yaboresha Daftari la Kudumu Mpiga Kura
Meja Jenerali Martin Busungu afariki dunia
Polisi wajipanga kuimarisha ulinzi na usalama msimu wa sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya
CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua
Chombo cha anga za juu cha NASA chajaribu kuweka historia kwa kuwa karibu zaidi na jua
NEMC yaonya kelele, uchafuzi wa mazingira wakati wa sikukuu
Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton alazwa hospitalini
Israel yakiri kumuua Ismail Haniyeh
Mwinyi: SMZ itaendelea kuleta mageuzi katika Mahakama
Benki ya Dunia, SADC zampa tano Rais Samia
Kuelekea msimu wa sikukuu wazazi, walezi watakiwa kuwajibika kwenye malezi ya watoto
Tume zaundwa kuchunguza mgogoro wa ardhi, uhamaji kwa hiari Hifadhi ya Ngorongoro
Soma Gazeti la Jamhuri Desemba 24 – 30, 2024
RC Chalamila: Kuanzia Januari Kariakoo itakuwa masaa 24
Jeshi la polisi Dodoma latoa mwelekeo wake msimu wa Sikukuu