Rais Samia aanza ziara ya siku moja nchini Congo DRC
JamhuriComments Off on Rais Samia aanza ziara ya siku moja nchini Congo DRC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo wakipokea Gwaride rasmi alipowasili katika Viwanja vya Ikulu Jijini Kinshasa kwa ajili ya kuanza ziara rasmi ya siku moja nchini DRCRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo akikagua Gwaride rasmi alipowasili katika Viwanja vya Ikulu Jijini Kinshasa kwa ajili ya kuanza ziara rasmi ya siku moja nchini DRCRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo alipokua akitambulishwa kwa Viongozi mbalimbali wa DRC alipowasili katika Ikulu ya Kinshasa kwa ajili ya kuanza ziara rasmi ya siku moja