Rais Samia aahidi kusimamia JWTZ kuwa madhubuti na la mfano Afrika
JamhuriComments Off on Rais Samia aahidi kusimamia JWTZ kuwa madhubuti na la mfano Afrika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wakufunga Zoezi la Medani katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Pongwe Msungura, Msata mkoani Pwani, leo tarehe 23 Agosti, 2024.Matukio mbalimbali wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga Zoezi la Medani katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Pongwe Msungura, Msata mkoani Pwani tarehe 23 Agosti, 2024.