Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
September 5, 2022
Habari Mpya
Rais Mwinyi azungumza na vyombo vya habari
Jamhuri
Comments Off
on Rais Mwinyi azungumza na vyombo vya habari
Mwandishi wa Habari wa Star TV Nd,Abdalla Pandu akiuliza suala kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa mazungumzo na Wahariri na Waandishi wa Habari na vya vyombo vya Serikali na Binafsi leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 05/09/2022
Waandishi wa Habari na Wahariri vya vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi wakimsikiliza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipozungumza nao leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, kuhusu masuala mbali mbali ya kuleta maendeleo kwa Taifa letu.[Picha na Ikulu] 05/09/2022
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Zanzibar leo Nd,Ali Haji Mwadini (kushoto) na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Nd,Hassan Khatib Hassan wakiwa katika mazungumzo ya Wahariri na Waandishi wa Habari wa vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi chini ya mwenyekiti Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 05/09/2022.
Post Views:
212
Previous Post
Waziri Mkuu asisitiza uadilifu ujenzi wa mji wa Serikali
Next Post
LHRC yafungua shauri la kupinga utaratibu uliotumika kupitisha tozo za kielektroniki
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
Habari mpya
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
INEC yaboresha Daftari la Kudumu Mpiga Kura
Meja Jenerali Martin Busungu afariki dunia
Polisi wajipanga kuimarisha ulinzi na usalama msimu wa sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya
CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua
Chombo cha anga za juu cha NASA chajaribu kuweka historia kwa kuwa karibu zaidi na jua
NEMC yaonya kelele, uchafuzi wa mazingira wakati wa sikukuu
Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton alazwa hospitalini
Israel yakiri kumuua Ismail Haniyeh
Mwinyi: SMZ itaendelea kuleta mageuzi katika Mahakama
Benki ya Dunia, SADC zampa tano Rais Samia