Rais Mwinyi azungumza na uongozi Taasisi ya kidemokrasia inayoshughulikia masuala ya kimataifa
JamhuriComments Off on Rais Mwinyi azungumza na uongozi Taasisi ya kidemokrasia inayoshughulikia masuala ya kimataifa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Kidemokrasia Inayoshughulikia Masuala ya Kimataifa (NDI) ukiongozwa na Mkurugenzi Mkazi Nchini Tanzania Bi. Sandy Quimbaya (kulia kwa Rais) ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 1-9-2022 katika ukumbi wa IkuluRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Sisi ni Wamoja, Mtazamo wa Wananchi Kuhusu Serikali ya Umoja wa Kitaifa, utafiti uliofanywa na Jumuiya ya Wanawake Wenye Ulemavu Zanzibar, akikabidhiwa na Ndg.Rashid Azizi Rashid (kulia kwake) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Wenye Ulemavu Zanzibar (JUWAUZA) Bi. Salma Haji Saadat, baada ya kumaliza mazungumzo na Uongozi wa Taasisi ya Kidemokrasia Inayoshughulikia Masuala ya Kimataifa (NDI) yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini ZanzibarRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya Kidemokrasia Inayoshughulikia Masuala ya Kimataifa (NDI) Bi. Sandy Quimbaya, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 1-9-2022.(Picha na Ikulu)