Rais Mwinyi azungumza na taasisi ya Milele Foundation na Ifraj Zanzibar Foundation
JamhuriComments Off on Rais Mwinyi azungumza na taasisi ya Milele Foundation na Ifraj Zanzibar Foundation
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza akiwa miongoni mwa ujumbe wa Taasisi ya Zanzibar Milele Foundation ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo leo.[Picha na Ikulu] 30/08/2022.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Taasisi ya Zanzibar Milele Foundation mara baada ya mazungumzo yao leo Ikulu Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 30/08/2022.