Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
August 3, 2022
Kitaifa
Rais Mwinyi azindua muongozo wa mafunzo ya sayansi,kiingereza na hisabati
Jamhuri
Comments Off
on Rais Mwinyi azindua muongozo wa mafunzo ya sayansi,kiingereza na hisabati
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa na Naibu wake Mhe.Ali Gulam Hussein pamoja na Viongozi wengine mara alipowasili katika hafla ya Uzinduzi wa muongozo wa mafunzo ya Sayansi kwa Skuli za Sekondari katika Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar,mafunzo hayo yataendeshwa na Shirika la Koik
a
R
ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akimsikiliza Meneja mwandamizi wa Goodneighbors Nd.John Massenza akitoa maelezo wakati alipotembelea maonesho ya Vitabu mbali mbali vya kufundishia katika hafla ya Uzinduzi wa muongozo wa mafunzo ya Sayansi kwa Skuli za Sekondari nje Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar,ambapo Shirika la Koika litaendesha mafunzo hayo
.
Viongozi mbalimbali wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa muongozo wa mafunzo ya Sayansi kwa Skuli za Sekondari yatakayoendesha na Shirika la Koika hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akizungumza wakati wa Uzinduzi wa muongozo wa mafunzo ya Sayansi kwa Skuli za Sekondari yatakayoendesha na Shirika la Koika katika Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar (kulia) Balozi wa Korea Kusini Nchini Tanzania Mhe.Sun Fyo Kim na Mkurugenzi Mkaazi wa KoikaTanzania Bw.Kyucheol Eo.
Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuzindua Muongozo wa Mafunzo ya Sayansi kwa Skuli za Sekondari Zanzibar, uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-8-2022
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Vitabu vya Muongozo wa Mafunzo ya Sayansi, Hesabati na Kingereza na Balozi wa Korea ya Kusini Nchini Tanzania Mhe. Sun Pyo Kim (kulia kwa Rais) na Mkurugenzi Mkaazi wa KOICA Tanzania Bw.Kyucheol Eo na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Mohammed Mussa, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgulam Hussein.(Picha na Ikulu
)
Post Views:
188
Previous Post
Majaliwa afungua kongamano la nne la Kimataifa la Nishati Tanzania
Next Post
Barua zenye maandishi mekundu yazua hofu kwa madiwani Mtwara
Tanzania kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi, kukuza utalii
Polisi yawasaka waliomshambulia mtoto na kumjeruhi Monduli
Waandishi wa habari Manyara, UTPC waandamana uzinduzi Kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili
Vyama vya siasa, wananchi wahimizwa amani uchaguzi Serikali za Mitaa 2024
JWT: Wafanyabiashara bado tuna changamoto nyingi
Habari mpya
Tanzania kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi, kukuza utalii
Polisi yawasaka waliomshambulia mtoto na kumjeruhi Monduli
Waandishi wa habari Manyara, UTPC waandamana uzinduzi Kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili
Vyama vya siasa, wananchi wahimizwa amani uchaguzi Serikali za Mitaa 2024
JWT: Wafanyabiashara bado tuna changamoto nyingi
Kilo 2207 za dawa za kulevya zanaswa
RC Ruvuma : Hali ya maambukizi ugonjwa wa UKIMWI yapungua, ashauri kuendelea kujikinga
Mkakati: CCM ikihitimisha kampeni kwa kishindo
TPA bingwa mashindano ya SHIMMUTA 2024
Yanga VS Al Hilal ni kesho
Tanzania yashinda tuzo ya utalii duniani
Kairuki yaja na teknolojia kutibu saratani bila upasuaji
Dk Biteko ahimiza Watanzania kupiga kura Novemba 27, 2024
Sho Madjozi atangaza rasmi kuacha muziki
Rais Dkt. Samia aweka jiwe la msingi ujenzi Msikiti wa Al Ghaith Morogoro