Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana wakati alipowasili katika Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki leo katika Uzinduzi wa Mradi wa kuwajenga uwezo Vijana ili wawezi kujiajiri na kuajirika katika sekta ya Uchumi wa Buluu (SEBEP).[Picha na Ikulu] 17/05/2023.
Baadhi ya Vijana waliohuduria katika hafla ya uzinduzi wa Mradi wa kuwajenga uwezo Vijana ili wawezi kujiajiri na kuajirika katika sekta ya Uchumi wa Buluu (SEBEP) katika Ukumbi wa mikutano wa Golden Tulip Kiembesamaki leo wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake .[Picha na Ikulu] 17/05/2023
.
Mwakilishi Mkaazi wa Benki ya Maendeleo Afrika ADB Ndg.Patricia N.Laverley(kushoto) alipokuwa akitoa salamu zake katika hafla ya uzinduzi wa Mradi wa kuwajenga uwezo Vijana ili wawezi kujiajiri na kuajirika katika sekta ya Uchumi wa Buluu (SEBEP) katika Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki (kushoto) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa (katikati) wakimsikiliza Mwakilishi huyo.[Picha na Ikulu] 17/05/2023.
Wakuu wa Mikoa ya Zanzibar wakifuatilia kwa makini Hotuba iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) katika hafla ya uzinduzi wa Mradi wa kuwajenga uwezo Vijana ili wawezi kujiajiri na kuajirika katika sekta ya Uchumi wa Buluu (SEBEP) katika Ukumbi wa mikutano wa Golden Tulip Kiembesamaki leo.[Picha na Ikulu] 17/05/2023.
Baadhi ya Mawaziri na Watendaji mbali mbali katika Taasisi za Serikali ya Mapinduzi wakifuatilia kwa makini Hotuba iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) katika hafla ya uzinduzi wa Mradi wa kuwajenga uwezo Vijana ili wawezi kujiajiri na kuajirika katika sekta ya Uchumi wa Buluu (SEBEP) katika Ukumbi wa mikutano wa Golden Tulip Kiembesamaki leo.[Picha na Ikulu] 17/05/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt,Mohamed Said Mohamed (Dimwa),Mwakilishi Mkaazi wa ADB Ndg.Patricia N.Laverley(wa pili kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa (kulia) wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa kuwajenga uwezo Vijana ili wawezi kujiajiri na kuajirika katika sekta ya Uchumi wa Buluu (SEBEP) katika Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki leo.[Picha na Ikulu] 17/05/2023
.
Mwakilishi Mkaazi wa Benki ya Maendeleo Afrika ADB Ndg.Patricia N.Laverley(kushoto) alipokuwa akitoa salamu zake katika hafla ya uzinduzi wa Mradi wa kuwajenga uwezo Vijana ili wawezi kujiajiri na kuajirika katika sekta ya Uchumi wa Buluu (SEBEP) katika Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki (kushoto) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa (katikati) wakimsikiliza Mwakilishi huyo.[Picha na Ikulu] 17/05/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya uzinduzi wa Mradi wa kuwajenga uwezo Vijana ili wawezi kujiajiri na kuajirika katika sekta ya Uchumi wa Buluu (SEBEP) katika Ukumbi wa mikutano wa Golden Tulip Kiembesamaki leo.[Picha na Ikulu] 17/05/2023.
.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati) akimkabidhi zawadi Mwakilishi Mkaazi wa Benki ya Maendeleo Afrika ADB Ndg.Patricia N.Laverley, katika hafla ya uzinduzi wa Mradi wa kuwajenga uwezo Vijana ili wawezi kujiajiri na kuajirika katika sekta ya Uchumi wa Buluu (SEBEP) uliyofanyika leo katika Ukumbi wa mikutano wa Golden Tulip Kiembesamaki,(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa .[Picha na Ikulu] 17/05/2023
Post Views: 157