Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
June 1, 2023
Habari Mpya
Rais Mwinyi azindua kamati ya kuzuia udhalilishaji kijinsia
Jamhuri
Comments Off
on Rais Mwinyi azindua kamati ya kuzuia udhalilishaji kijinsia
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakisimama wakati Wimbo wa Taifa Ukipigwa katika hafla ya kuzindua Kamati ya Udhalilishaji wa Kijinsia Zanzibar uliofanyika leo Ukumbi wa Idrisa Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar (kushoto) Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman (kulia) Mkuu wa Wilaya ya Mjini Mhe.Rashid Simai Msaraka,Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said akifuatia Mkurugenzi Mastaka Zanzibar Mhe.Mgeni Jailani Jecha .[Picha na Ikulu] 01/06/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akimkabidhi Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar Bi.Mwanamkaa A.Mahmoud Hadidu Rejea,Kanuni na Mpango kazi wa Kamati ya Udhalilishaji wa Kijinsia Zanzibar akiwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo mara baada ya kuizindua rami leo katika Ukumbi wa Idrisa Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar,(kulia)Mkurugenzi Mastaka Zanzibar Mhe.Mgeni Jailani Jecha na (wa pili kushoto) Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi.[Picha na Ikulu] 01/06/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Kamati ya Udhalilishaji wa Kijinsia Zanzibar uliofanyika leo Ukumbi wa Idrisa Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar (kushoto) Mkurugenzi Mastaka Zanzibar Mhe.Mgeni Jailani Jecha ,Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Mkuu wa Wilaya ya Mjini Mhe.Rashid Simai Msaraka.[Picha na Ikulu] 01/06/2023.
Viongozi wa Taasisi mbali mbali na waalikwa wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Kamati ya Udhalilishaji wa Kijinsia Zanzibar uliofanyika leo Ukumbi wa Idrisa Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.[Picha na Ikulu] 01/06/2023.
Baadhi ya Wakuu wa vyombo vya Usalama na Viongozi wengine wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Kamati ya Udhalilishaji wa Kijinsia Zanzibar uliofanyika leo Ukumbi wa Idrisa Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.[Picha na Ikulu] 01/06/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akisoma maelezo na majukumu ya Kamati ya Udhalilishaji wa Kijinsia Zanzibar mara baada ya kufanya uzinduzi wa kamati hiyo leo katika Ukumbi wa Idrisa Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar (kulia) Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman (kushoto) Mkurugenzi Mastaka Zanzibar Mhe.Mgeni Jailani Jecha na Mwenyekiti wa Kamati Hiyo Bi.Mwanamkaa A.Mahmoud.[Picha na Ikulu] 01/06/2023.
Post Views:
296
Previous Post
Watu 15 wafamilia moja wafariki kwa kunywa uji Namibia
Next Post
Jafo: Athari za mazingira zimesababisha mfumuko wa bei
Dk Kazungu atembelea miradi ya umeme Dar es Salaam
Rais Mstaafu Dk Ali Mohamed Shein aweka jiwe la msingi jengo la Mahakama Mkoa wa Kaskazini Unguja
Bandari Tanga yaingiza mapato zaidi ya bilioni 100
Polisi Dar yaimarisha ulinzi, yazuia fataki
Rais Samia afungua uchumi wa nchi kwa kukaribisha wawekezaji nchini – Ulega
Habari mpya
Dk Kazungu atembelea miradi ya umeme Dar es Salaam
Rais Mstaafu Dk Ali Mohamed Shein aweka jiwe la msingi jengo la Mahakama Mkoa wa Kaskazini Unguja
Bandari Tanga yaingiza mapato zaidi ya bilioni 100
Polisi Dar yaimarisha ulinzi, yazuia fataki
Rais Samia afungua uchumi wa nchi kwa kukaribisha wawekezaji nchini – Ulega
Waziri Mkuu aagiza TANROADS waongeze kasi ya ujenzi daraja la Simiyu
Chana atoa maagizo halmashauri za wilaya
Bashungwa awajulia hali majeruhi ajali ya Biharamulo, abiria 11 wapoteza maisha
Papa Francis azungumzia ‘ukatili’ unaotendeka Gaza
Ajali ya Boti yaua 38 DRC, zaidi ya 100 hawajulikani walipo
IGP Wambura afumua Kikosi cha Usalama Barabarani
Nyabiyonza FC yaibuka kidedea dhidi ya Nyuki FC
Majaliwa aipongeza Wizara ya Ujenzi kurejesha mawasiliano barabara Kuu Manyara – Singida
Kampeni ya Mama Samia yapatiwa magari 10
DK. Mwinyi aweka jiwe la msingi Flyover Kwerekwe