Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba na kusalimiana na Viongozi wa Serikali na Chama Cha Mapinduzi leo Julai 25, akiendelea na ziara yake Pemba kutembelea Miradi mbalimbali ya Maendele
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwasalimia Wananchi baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake  Pemba kuendelea na ziara yake leo Julai 25, kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Mikoa miwili ya Pemba.(Picha na Ikulu)
Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Pemba wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba wakati wa mapokezi ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) alipowasili Uwanja Ndege Chakechake Pemba,kuendelea na ziara yake Pemba leo Julai 25, katika Mikoa Miwili ya Kusini na Kaskazini Pemba