JamhuriComments Off on Rais Mwinyi awaapisha wajumbe wa Tume ya Mipango
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Waziri wa Fedha na Mipamgo Mhe.Sada Mkuya Salum kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano Ikulu Jijini Zanzibar (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed SaidRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Dkt.Khalid Salum Mohamed kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar hafla iliyofanyika leo ukumbi wa mikutano Ikulu Jijini Zanzibar (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said