Juma Makungu Juma akiapa Kuwa Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi, akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg. Masoud Hussein Iddi kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais- Ikulu Zanzibar, na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Dkt.Maua Abeid Daftari akiapa kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar, akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi .Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo iliyofanyika leo 5-8-2022 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg. Rashid Ali Salim kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar,na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanziba