Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
May 13, 2023
Habari Mpya
Rais Mwinyi ashiriki mazishi ya Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja
Jamhuri
Comments Off
on Rais Mwinyi ashiriki mazishi ya Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa Chwaka na kutowa mkono wa pole kwa Ndugu na Jamaa wa Marehemu Simai Msaraka Pinja, baada ya kumalizika kwa maziko hayo yaliyofanyika katika Kijiji cha Chwaka Mkoa wa Kusini Unguja leo 13-5-2023.(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi na Wananchi wa Chwaka katika kuitikia dua ya kumuombea Marehemu Simai Msaraka Pinja, ikisomwa na Sheikh Abdalla Khamis Juma (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa maziko hayo yaliyofanyika Kijijini kwao Chwaka Mkoa wa Kusini Unguja leo 13-5-2023 na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja Mhe. Rashid Sima Msaraka, Mtoto wa Marehemu na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Simai Msaraka Pinja, wakati wa maziko yake yaliyofanyika Kijiji kwao Chwaka Mkoa wa Kusini Unguja leo 13-5-2023..(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi na Wananchi wa Chwaka katika kuitikia dua ya kumuombea Marehemu Simai Msaraka Pinja, ikisomwa na Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Khalid Ali Mfaume.(kushoto kwa Rais) na kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, iliyofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Chwaka Mkoa wa Kusini Unguja leo 13-5-2023.(Picha na Ikulu)
Post Views:
291
Previous Post
Yanga bingwa Ligi Kuu Tanzania Bara
Next Post
Madaktari bingwa wa moyo JKCI watia fora Malawi
Dk Mpango atoa wito kwa majaji, mahakimu wanawake kutofumbia macho vitendo vya ukatili
TEF yawapongeza Dk Samia, Dk Mwinyi, Dk Nchimbi
Mikoa sita kunufaika na msaada wa kisheria wa mama Samia
Polisi Pwani wamkamata aliyesambaza picha chafu za utupu akihusisha shule ya Baobab
Wamuua ndugu yao na kumfukia kwenye shimo nyumbani kwake
Habari mpya
Dk Mpango atoa wito kwa majaji, mahakimu wanawake kutofumbia macho vitendo vya ukatili
TEF yawapongeza Dk Samia, Dk Mwinyi, Dk Nchimbi
Mikoa sita kunufaika na msaada wa kisheria wa mama Samia
Polisi Pwani wamkamata aliyesambaza picha chafu za utupu akihusisha shule ya Baobab
Wamuua ndugu yao na kumfukia kwenye shimo nyumbani kwake
TikTok yarejesha huduma zake Marekani baada ya ahadi ya Trump
Jafo aagiza jengo la Metrolojia CBE likamilike kwa wakati
Trump aahidi kuwazuia wahamiaji kuingia Marekani
Uhusiano baina ya Tanzania, Czech kung’ara
Rais Samia, Mwinyi mitano tena
Simba njia nyeupe
Rais Samia aongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
Wazazi jamii ya kifugaji wamuomba Waziri kuingilia kati sakata la kuchukuliwa kwa watoto wao kinyemela
‘Hakuna mashaka kuhusu ukubwa wa wa Chama Cha Mapinduzi’
Matukio mbalimbali wakati Mkutano Mkuu wa CCM