Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
March 3, 2023
Habari Mpya
Rais Mwinyi ashiriki mazishi ya aliyekuwa mwakilishi wa Jimbo la Mtambile
Jamhuri
Comments Off
on Rais Mwinyi ashiriki mazishi ya aliyekuwa mwakilishi wa Jimbo la Mtambile
Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaab (wa pili kushoto) akijumuika na Waislamu wengine kuupokea mwili wa Marehemu Habibu Ali Mohamed aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Mtambile, katika masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Mjini Magharibi leo kwa ajili ya swala maiti. [Picha na Ikulu] 03/03/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimpa mkono wa pole Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid mara baada ya swala ya Maiti kumswalia Marehemu Habibu Ali Mohamed aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Mtambile, katika masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Mjini Magharibi leo (katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman Abdulla. [Picha na Ikulu] 03/03/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (wa tano kulia) akijumuika na Viongozi na Waumini wa Dini ya Kiislamu kumuombea dua Mwili wa Marehemu Habibu Ali Mohamed aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Mtambile, katika masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Mjini Magharibi leo baada ya Swala ya Ijumaa.[Picha na Ikulu] 03/03/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Viongozi baada ya Swala ya Ijumaa na kuswalia Mwili wa Marehemu Habibu Ali Mohamed aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Mtambile, katika masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Mjini Magharibi leo.[Picha na Ikulu] 03/03/2023.
Post Views:
315
Previous Post
Rais Samia awataka viongozi kutekeleza na kusimamia majukumu yao
Next Post
Wanaokwamisha mabadiliko ya mahakama kuchukuliwa hatua
Diwani CHADEMA ashikiliwa kwa tuhuma za kuua kwa kumpiga risasi mkulima
Waziri Ulega aagiza miradi ya BRT ikamilike kabla ya msimu wa mvua za masika
‘Rais Samia anawajali wenye mahitaji maalum’
Jeshi la Kongo ‘ladungua ndege zisizo na rubani’ za Rwanda
Waandishi wa habari watano Gaza wauawa
Habari mpya
Diwani CHADEMA ashikiliwa kwa tuhuma za kuua kwa kumpiga risasi mkulima
Waziri Ulega aagiza miradi ya BRT ikamilike kabla ya msimu wa mvua za masika
‘Rais Samia anawajali wenye mahitaji maalum’
Jeshi la Kongo ‘ladungua ndege zisizo na rubani’ za Rwanda
Waandishi wa habari watano Gaza wauawa
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
INEC yaboresha Daftari la Kudumu Mpiga Kura
Meja Jenerali Martin Busungu afariki dunia
Polisi wajipanga kuimarisha ulinzi na usalama msimu wa sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya
CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua
Chombo cha anga za juu cha NASA chajaribu kuweka historia kwa kuwa karibu zaidi na jua