Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
September 29, 2023
Habari Mpya
Rais Mwinyi ashiriki ibada ya Masjid Jamiuu Zinjibar Mkoa wa Mjini
Jamhuri
Comments Off
on Rais Mwinyi ashiriki ibada ya Masjid Jamiuu Zinjibar Mkoa wa Mjini
ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Balozi Mdogo wa Oman hapa Zanzibar Mhe.Said Salim Al Sinawi pamoja na Viongozi wengine wakati alipowasili katika Masjid Jamiuu Zinjibar Mkoa wa Mjini Magharibi leo kushiriki katika Swala ya Ijumaa. [Picha na Ikulu] 29/09/2023.
Waumini wa Dini ya Kiislamu waliohudhuria Ibada ya Swala ya Ijumaa leo, Masjid Jamiuu Zinjibar,Mkoa wa Mjini Magharibi wakiitikia Dua Iliyoombwa baada ya ibada hiyo, iliyowajumuisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Viongozi mbali mbali. [Picha na Ikulu] 29/09/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kulia) pamoja na Waumini wakiitikia Dua iliyoombwa leo na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi(katikati) baada ya Ibada ya Swala ya Ijumaa katika Masjid Jamiuu Zinjibar Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 29/09/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akiteta na Mkurugenzi wa Mkuu wa Kituo cha Ahmed Al Faatih cha Kiislamu -Bahrain Bw.Nawaf Rasshid Al Rashid (katikati) baada ya Ibada ya Swala ya Ijumaa katika Masjid Jamiuu Zinjibar Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 29/09/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Sheikh Salum Mardhia baada ya kumalizika kwa ibada ya Sala ya Ijumaa Leo katika masjid Jamiuu Zinjibar Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi. [Picha na Ikulu] 29/09/2023.
Post Views:
214
Previous Post
Watatu wafariki kwenye mapigano ya wakulima na wafugaji Tunduru
Next Post
Wanawake watakiwa kuungana na kushikama kufikia usawa wa kijinsia
Ajali yaua sita wakiwemo walimu wanne
Diwani CHADEMA ashikiliwa kwa tuhuma za kuua kwa kumpiga risasi mkulima
Waziri Ulega aagiza miradi ya BRT ikamilike kabla ya msimu wa mvua za masika
‘Rais Samia anawajali wenye mahitaji maalum’
Jeshi la Kongo ‘ladungua ndege zisizo na rubani’ za Rwanda
Habari mpya
Ajali yaua sita wakiwemo walimu wanne
Diwani CHADEMA ashikiliwa kwa tuhuma za kuua kwa kumpiga risasi mkulima
Waziri Ulega aagiza miradi ya BRT ikamilike kabla ya msimu wa mvua za masika
‘Rais Samia anawajali wenye mahitaji maalum’
Jeshi la Kongo ‘ladungua ndege zisizo na rubani’ za Rwanda
Waandishi wa habari watano Gaza wauawa
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
INEC yaboresha Daftari la Kudumu Mpiga Kura
Meja Jenerali Martin Busungu afariki dunia
Polisi wajipanga kuimarisha ulinzi na usalama msimu wa sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya
CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua