Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
January 12, 2024
Habari Mpya
Rais Mwinyi amtunuku nishani ya heshima ya Mapinduzi ya Viongozi wenye sifa ya kipekee Rais Samia
Jamhuri
Comments Off
on Rais Mwinyi amtunuku nishani ya heshima ya Mapinduzi ya Viongozi wenye sifa ya kipekee Rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi wakati wa hafla ya utoaji wa Nishani ya Mapinduzi ya Viongozi wenye sifa za Kipekee (Order of Praise) katika viwanja vya Ikulu ya Zanzibar tarehe 11 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipongezwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi mara baada ya kutunukiwa Nishani ya Mapinduzi ya Viongozi wenye sifa za Kipekee (Order of Praise) katika kuadhimisha miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Zanzibar tarehe 11 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akivalishwa Nishani ya Mapinduzi ya Viongozi wenye sifa za Kipekee (Order of Praise) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Zanzibar tarehe 11 Januari, 2024. Rais Samia ametunukiwa Nishani hiyo katika kuadhimisha miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya Utoaji wa Nishani iliyofanyika kwenye viwanja vya Ikulu ya Zanzibar tarehe 11 Januari, 2024.
Post Views:
429
Previous Post
RC Mtaka amshukuru Rais Samia kwa kutoa mbegu ya ngano Makete, Ludewa zaidi ya tani 950.
Next Post
Rais Dk Mwinyi atunuku nishani 17
Rais Samia ateua viongozi mbalimbali
Trump kubadili sura ya dunia kuanzia Jumatatu
Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol aliyefutwa kazi akamatwa
Jeshi la Ukraine lafanya shambulizi kubwa zaidi Urusi
Tanzania, Japan zajidhatiti kusaidia wakulima nchini
Habari mpya
Rais Samia ateua viongozi mbalimbali
Trump kubadili sura ya dunia kuanzia Jumatatu
Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol aliyefutwa kazi akamatwa
Jeshi la Ukraine lafanya shambulizi kubwa zaidi Urusi
Tanzania, Japan zajidhatiti kusaidia wakulima nchini
Dk Kazungu ateta na balozi wa Tanzania Abu Dhabi
Tanzania iko tayari kwa mashindano ya CHAN na AFCON
Rais Samia mgeni rasmi maadhimisho ya Siku ya Sheria
Jaji Mkuu: Toeni taarifa endapo hamjaridhishwa na huduma za mahakama
Wakili Mahinyila achaguliwa mwenyekiti BAVICHA
Rais Samia amlilia DC Mbozi Ester Mahawe
Maliasili, Mambo ya Ndani zatakiwa kushirikiana kukuza utalii
Naibu Waziri Maryprisca Mahundi amuonya diwani kutopotosha umma
Wawili wauwa katika ugomvi wa kugombea ardhi Mbarali, watatu mbaroni
TMA yatoa taarifa ya uwepo wa kimbunga Dikeledi