


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Mwenyekiti wa Tume ya Kuangalia jinsi ya kuboresha Taasisis za Haki Jinai Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu Mhe.Mohamed Chande Othman,baada ya mazungumzo na Tume hiyo ilipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo Kujitambulisha.[Picha na Ikulu] 11/04/2023.

