Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
May 2, 2023
Habari Mpya
Rais Mwinyi akutana na balozi wa Marekani nchini Tanzania
Jamhuri
Comments Off
on Rais Mwinyi akutana na balozi wa Marekani nchini Tanzania
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Michael Battle,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kwa ajili ya Mazungumzo.[Picha na Ikulu] 02/05/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Michael Mattle,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo akiwa na ujumbe wake (hawapo pichani).[Picha na Ikulu] 02/05/202
3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Michael Battle (wa tatu kushto) akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo .[Picha na Ikulu] 02/05/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Michael Mattle,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo wakati wa mazungumzo akiwa na ujumbe wake (hawapo pichani).[Picha na Ikulu] 02/05/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa katika picha na Mgeni wake Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Michael Mattle,alipofika kujitambulisha Ikulu Jijini Zanzibar leo baada ya mazungumzo yao.[Picha na Ikulu] 02/05/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akifuatana na Mgeni wake Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Michael Mattle,aliyefika Ikulu Jijini Zanzibar leo kujitambulisha na mazungumzo ya pamoja.[Picha na Ikulu] 02/05/2023
Post Views:
599
Previous Post
Wajawazito kupimwa vipimo vya awali bila malipo
Next Post
Waziri Mkenda atoa wito kwa watahiniwa wanaoanza mitihani
Rais Samka afanya teuzi za Majaji wa Mahakama za Rufani
Serikali kuendelea kupokea maoni Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050
Mchakato wa Dira 2050 waanza, AZAKI watoa maoni
Waziri Mkuu awasili Uganda kumwakilisha Rais Samia mkutano wa kilimo
Dk Mpango: Tanzania inathamini ushirikiano wake na Marekani
Habari mpya
Rais Samka afanya teuzi za Majaji wa Mahakama za Rufani
Serikali kuendelea kupokea maoni Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050
Mchakato wa Dira 2050 waanza, AZAKI watoa maoni
Waziri Mkuu awasili Uganda kumwakilisha Rais Samia mkutano wa kilimo
Dk Mpango: Tanzania inathamini ushirikiano wake na Marekani
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yachunguza vifo vya watu wawili Pemba
Tanzania, Japan zatia saini hati ya makubaliano ushirikiano miradi ya afya nchini
RC Makonda autaka uongozi Jiji Arusha kuwapa kipaumbele wazawa
Wizara ya Elimu mbioni kuzindua mitaala mipya iliyoboreshwa
Mwinyi: Zanzibar itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji sekta ya Uchumi Buluu
REA yaendelea ilipoishia umeme nyumba kwa nyumba
Mahakama ya Juu Marekani yakataa ombi la Trump la kusitisha hukumu dhidi yake
Dk Gwajima aagiza kuundwa kamati za ulinzi wa watoro
Jokate awapa tano vijana kwa maandalizi mazuri ya Mkutano Mkuu CCM
Polisi wathibitisha kumshikilia Dk Silaa