Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa India Nchini Tanzania Mhe.Bishwadip Dey, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 20-8-2024, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha.(Picha na Ikulu)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa India Nchini Tanzania Mhe.Bishwadip Dey, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 20-8-2024, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa India Nchini Tanzania Mhe.Bishwadip Dey, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 20-8-2024, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha.(Picha na Ikulu)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya picha na mgeni wake Balozi wa India Nchini Tanzania Mhe.Bishwadip Dey, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 20-8-2024.(Picha na Ikulu)

Please follow and like us:
Pin Share