Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
March 6, 2023
Kitaifa
Rais Mwinyi akiwaapisha makamishna
Jamhuri
Comments Off
on Rais Mwinyi akiwaapisha makamishna
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Yahout Hassan Yakout kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 06/03/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Asha Khamis Hamad kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 06/03/2023.
Bw.Yahout Hassan Yakout akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj. Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 06/03/20
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) pamoja na Viongozi mbali mbali wakisimama Wimbo wa Taifa Ukipigwa katika hafla ya Kuapishwa Makamishana wa Tume ya Utumishi wa Umaa leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 06/03/2023
Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakipiga saluti wakati Wimbo wa Taifa Ukipigwa katika hafla ya Kuapishwa Makamishana wa Tume ya Utumishi wa Umaa leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 06/03/2023
Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakiwa katika hafla ya Kuapishwa Makamishana wa Tume ya Utumishi wa Umaa leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 06/03/202
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (kulia)Jaji Mkuu wa Zanzibar Khamis Ramadhan Abdalla na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Ikulu.Jamali Kassim Ali,wakiwa katika hafla ya Kuapishwa Makamishana wa Tume ya Utumishi wa Umaa iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu].06/03/2023
Post Views:
207
Previous Post
Mchezaji wa Mtibwa Sugar afariki kwa mshtuko
Next Post
Ndunguru:Uwekezaji sekta ya madini umekua kwa kasi
RC Chalamila afanya maandalizi ya Mkutano wa wakuu Afrika wa nishati, akagua miradi Dar
Waziri Fedha aitaka TRA kuwa wakali kwa wafanyabiashara sugu wanaokwepa kodi
Dk Biteko aagiza kituo cha huduma kwa wateja TANESCO kusukwa upya
Wakazi Same watakiwa kutunza na kulinda miundombinu inayowekezwa na Serikali
Kundo : Wakazi 180,000 kunufaika na miradi ya maji 35 Pwani
Habari mpya
RC Chalamila afanya maandalizi ya Mkutano wa wakuu Afrika wa nishati, akagua miradi Dar
Waziri Fedha aitaka TRA kuwa wakali kwa wafanyabiashara sugu wanaokwepa kodi
Dk Biteko aagiza kituo cha huduma kwa wateja TANESCO kusukwa upya
Wakazi Same watakiwa kutunza na kulinda miundombinu inayowekezwa na Serikali
Kundo : Wakazi 180,000 kunufaika na miradi ya maji 35 Pwani
Mashambulizi ya Israel yaua watu 19 Gaza
Tanzania mwenyeji mkutano wa kikanda wa Baraza la viwanja vya ndege Afrika
TRA yawashukuru walipakodi, wadau kwa mwaka 2023/24
Tanzania, Uingereza kushirikiana kuendeleza madini mkakati
‘Uchumi wa Tanzania, Zanzibar kuendelea kuwa wa kuridhisha’
Prof Lipumba : Hali ya demokrasia duniani inaendelea kuporomoka
Rais Mwinyi : Serikali itajenga barabara nyingi Pemba
PPPC yatoa mafunzo ya uwekezaji kupitia ubia kwa madiwani wa Ilemela
Serikali yatoa milioni 400 kusambaza mitungi ya gesi kwa ruzuku Dodoma
Rais Samia aipongeza Zanzibar kusimamia malengo ya Mapinduzi Matukufu kwa kuboresha elimu