Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
May 19, 2023
Gazeti Letu
Rais Mwinyi akiwa msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Zanzibar
Jamhuri
Comments Off
on Rais Mwinyi akiwa msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akisalimiana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (katikati) alipofika kujumuika na waumini wa Dini ya Kiislamu katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Mji Mkongwe wa Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa nasaha kwa waumini wa Dini ya Kiislamu mara baada ya kujumuika nao pamoja katika Swala ya Ijumaa leo katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Mji Mkongwe wa Zanzibar.
Baadhi ya waumini wa Dini ya Kiislamu wakiitikia dua iliyoombwa leo baada ya Swala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Mji Mkongwe wa Zanzibar.
Baadhi ya waumini wa Dini ya Kiislamu wakiitikia dua iliyoombwa leo baada ya Swala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Mji Mkongwe wa Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akisisitiza jambo alipozungumza na Viongozi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa uliopo Malindi Mkongwe wa Zanzibar leo mara baada ya kujumuika nao katika Sala ya Ijumaa.[Picha na Ikulu] 19/05/2
023
Post Views:
214
Previous Post
Waziri Mkuu akiwa bungeni leo Dodoma
Next Post
Watendaji sekta ya afya wanaokwamisha maono ya rais hawatafumbiwa macho
‘Maumivu ya kifua upande wa kushoto hutokana na tatizo la mshtuko wa moyo’
Naibu Katibu Mkuu uchukuzi atembelea ofisi za TMA
Miss Universe Afrika Kusini avuliwa uraia
Rais Samia ateua viongozi mbalimbali
Rais Samia amlilia Mkuu wa Majeshi wa zamani nchini
Habari mpya
‘Maumivu ya kifua upande wa kushoto hutokana na tatizo la mshtuko wa moyo’
Naibu Katibu Mkuu uchukuzi atembelea ofisi za TMA
Miss Universe Afrika Kusini avuliwa uraia
Rais Samia ateua viongozi mbalimbali
Rais Samia amlilia Mkuu wa Majeshi wa zamani nchini
Mwakinyo atamba kumpasua ‘Kiduku’
JK aendeleza juhudi kukuza sekta ya maji barani Afrika
Rais Samia kuhudhuria mjadala Marekani
Mradi wa bilioni 60/-kuleta mapinduzi ya huduma za usafiri Ziwa Victoria
Serikali kuthamini taaluma ya wabunifu majengo na wakadiriaji majenzi
Polisi yatoa onyo wanaosajili laini za simu kwa kutumia NIDA za watu wenginge
Bibi harusi aanguka na kufa ghafla ukumbini
Hezbollah yamtangaza Naim Qassem kuwa kiongozi wake mpya
Wadau wakutana Arusha kujadili bima ya afya kwa wote
Vijiji vyote Newala vimefikiwa na umeme – Kapinga