,

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa Dini na Wajumbe wa Kamati ya Mwaka Mpya wa KiislamuZanzibar , wakati wa kukabidhi Vyeti vya Shukrani kwa Wajumbe kamati hiyo, iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-8-2023.(Picha na Ikulu)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman akizunguka, kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuzungumza na Viongozi wa Dini na kukabidhi Vyeti vya Shukrani kwa Wajumbe wa Kamati ya Mwaka Mpya wa Kiislamu,hafla hiyo iliyofanyika leo 21-8-2023 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj. Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha Shukrani Bi.Aziza Omar Hemed, kwa kutambua mchango wake wa Ushiriki na Ufanikishaji wa Sherehe za Maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu Zanzibar 1445, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-8-2023 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman.(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj. Dk.Hussein Ali Mwinyi akimpongeza Sheikh.Mohammed Suleiman Ali, baada ya kumkabidhi Cheti cha Shukrani kwa kutambua mchango wake wa Ushiriki na Ufanikishaji wa Sherehe za Maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu Zanzibar 1445, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-8-2023.(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj. Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha Shukrani Ustadh.Slum Seif Suleiman,kwa kutambua mchango wake wa Ushiriki na Ufanikishaji wa Sherehe za Maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu Zanzibar 1445, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-8-2023 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman.(Picha na Ikulu)

R