Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
February 13, 2023
Kitaifa
Rais Mwinyi ahudhuria Maadhimisho Siku ya Sheria Zanzibar
Jamhuri
Comments Off
on Rais Mwinyi ahudhuria Maadhimisho Siku ya Sheria Zanzibar
Jaji Mkuu wa Zanzibar.Khamis Ramadhan Abdalla na Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof.Ibrahim Khamis Juma wakifuatana pamoja na Majaji Wakuu wa Mahakama kuu Zanzibar wakiingia katika uwanja wa sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo viwanja vya Mahakama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo viwanja vya Mahakama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Rashid Hadid Rashid (kulia )wakati alipowasili katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika Leo viwanja vya Mahakama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Mwasheria Mkuu wa Zanzibar Dkt.Talib Mwinyi Haji alipokuwa akitoa salamu zake katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo viwanja vya Mahakama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi(hypo pichani) alikuwa Mgeni rasmi kaaika hafla hiyo.
Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Prof.Ibrahim Khamis Juma alipokuwa akitoa salamu zake katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo viwanja vya Mahakama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi (hypo pichani) alikuwa Mgeni rasmi kaaika hafla hiyo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akionesha kitabu cha Mahkama mara baada ya kukizindua leo katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo viwanja vya Mahakama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja(kulia) Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Prof.Ibrahim Khamis Juma (kushoto) Jaji Mkuu wa Zanzibar Khamis Ramadhan Abdalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea Tunzo kutoka kwa Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla (kushoto) katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo viwanja vya Mahakama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
Baadhi ya Viongozi na Wananchi mali mali walioalikwa katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo viwanja vya Mahakama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi .Picha na Ikulu
Post Views:
184
Previous Post
Serikali yatangaza kupeleka aina 10 za bidhaa soko huru Afrika
Next Post
Majaliwa: Marufuku kutumikisha watoto kwenye machimbo
Dk Biteko ahimiza upendo, amani na ushirikiano Sengerema
JOWUTA yataka sheria za kazi kuwalinda wafanyakazi katika vyombo vya habari
Mauaji ya waandishi yameongezeka duniani kwa asilimia 38, ripoti ya UN yaonyesha
Serikali imetekeleza miradi mingi sekta ya afumya – Dk Biteko
Chatanda azindua Umoja wa Wanawake Wafanya biashara wa Masoko Dodoma
Habari mpya
Dk Biteko ahimiza upendo, amani na ushirikiano Sengerema
JOWUTA yataka sheria za kazi kuwalinda wafanyakazi katika vyombo vya habari
Mauaji ya waandishi yameongezeka duniani kwa asilimia 38, ripoti ya UN yaonyesha
Serikali imetekeleza miradi mingi sekta ya afumya – Dk Biteko
Chatanda azindua Umoja wa Wanawake Wafanya biashara wa Masoko Dodoma
ACT -Wazalendo walia wagombea wao kunyimwa fomu za kuwania uongozi wa Serikali za Mitaa
Kunenge : Pwani kusimami maono ya Rais Samia kuvutia wawekezaji kwa wingi
Rais Samia aziwezesha sekta binafsi kutekeleza miradi ya umeme
Rais Samia: Serikali itaendelea kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji
Wizara ya Michezo yaikabidhi siku 120 Suma JKT kukamilisha viwanja vya michezo
Aweso ataka utafiti upatikanaji maji Dodoma
Vijana Queens yafutiwa matokeo
NMB kuchangia bil.1/- matibabu ya watoto JKCI
Benki ya Dunia yaridhishwa na utekelezaji wa mradi wa Heet Chuo Kikuu Mzumbe
Watoto 85 wapatikana kwa upandikizaji mimba Kairuki Green IVF