Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
January 9, 2024
MCHANGANYIKO
Rais Mwinyi afungua wa skuli ya sekondari ya Tumekuja
Jamhuri
Comments Off
on Rais Mwinyi afungua wa skuli ya sekondari ya Tumekuja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kulia) alipotembelea darasa Kompyuta na Kuwasalimia Wanafunzi baada ya kuifungua Skuli ya Sekondari ya Tumekuja iliyojengwa Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/01/2024.
Wanafunzi wa Skuli mpya ya Tumekuja wakiwa katika chumba cha Maabara wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotembelea madarasa mbali mbali baada ya kuifungua Skuli ya Sekondari ya Tumekuja iliyojengwa Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa nne kulia) akifungua pazia kuashiria Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Tumekuja iliyojengwa Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kufungua Skuli ya Sekondari ya Tumekuja iliyojengwa Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (wa tatu kulia )Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, na Viongozi mbali mbali wakishuhudia
Baadhi ya walimu wakiwa katika hafla ya ufunguzi wa Skuli mpya ya Sekondari Tumekuja iliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwiny, ambayo imejengwa Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/01/2024.
Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alip[okuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za Ufunguzi wa Skuli mpya ya Sekondari Tumekuja iliyojegwa Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/01/2024.
Wakurugenzi na Maafisa mbali mbali wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za Ufunguzi wa Skuli mpya ya Sekondari Tumekuja iliyojegwa Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/01/2024.
Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM,Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Maafisa wa Idara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,wakiwa katika sherehe za Ufunguzi wa Skuli mpya ya Sekondari Tumekuja iliyojegwa Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akiwapongeza Watoto waliosoma Utenzi Abdulkarim Mohamed na Hamisuu Juma kutoka Skuli ya Jendele Wilaya ya Kati,wakati wa sherehe za Ufunguzi wa Skuli mpya ya Sekondari Tumekuja iliyojegwa Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrsa Kitwana Mustafa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi .[Picha na Ikulu] 09/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (pichani kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za Ufunguzi wa Skuli mpya ya Sekondari Tumekuja iliyojegwa Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe Leila Mohamed Mussa,Katibu Mkuu Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Katibu Mwenezi wa CCM Zanzibar Komred Khamis Mbeto.
Post Views:
362
Previous Post
PICU inavyookoa maisha ya watoto Muhimbili na kutoa mafunzo kwa wataalam nchini
Next Post
Waziri Saada: Serikali kuendelea kuweka mazingira mazuri ya kazi kwa vikosi vya SMZ
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
INEC yaboresha Daftari la Kudumu Mpiga Kura
Habari mpya
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
INEC yaboresha Daftari la Kudumu Mpiga Kura
Meja Jenerali Martin Busungu afariki dunia
Polisi wajipanga kuimarisha ulinzi na usalama msimu wa sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya
CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua
Chombo cha anga za juu cha NASA chajaribu kuweka historia kwa kuwa karibu zaidi na jua
NEMC yaonya kelele, uchafuzi wa mazingira wakati wa sikukuu
Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton alazwa hospitalini
Israel yakiri kumuua Ismail Haniyeh
Mwinyi: SMZ itaendelea kuleta mageuzi katika Mahakama
Benki ya Dunia, SADC zampa tano Rais Samia
Kuelekea msimu wa sikukuu wazazi, walezi watakiwa kuwajibika kwenye malezi ya watoto