Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindizi DK Hussein Ali Mwinyi kulia akisalimiana na Viongozi wa Chama na Serikali mara baada ya kuwasili Kivunge kwa ajili ya kufungua Hospitali ya Wilaya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini A Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindizi DK Hussein Ali Mwinyi kulia akikunjuwa Kitambaa kuashiria Uzinduzi wa Hospitali ya Wilaya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini A Unguja.kushoto ni Waziri wa Afya Nassor Ahmed Mazrui.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindizi DK Hussein Ali Mwinyi akipatiwa Maelezo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Hospitali ya SAIFEE Tanzania Murtaza Alibhai baada ya kuifungua Hospitali ya Wilaya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini A Unguja.
Baadhi ya Vifaa vilivyofungwa ndani ya Hospitali Wilaya Kivunge ambayo imefunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini A Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bazala Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akipanda Mche wa Mti wa Muembe ikiwa ni Ishara ya kuhifadhi Mazingira katika Hafla ya Ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini A Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bazala Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akitilia Maji Mche wa Mti wa Muembe Baada ya kuupanda ikiwa ni Ishara ya kuhifadhi Mazingira katika Hafla ya Ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini A Unguja.
Waziri wa Afya Nassor Ahmed Mazrui akitoa hotuba ya Makaribisho katika Hafla ya Ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini A Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bazala Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akitoa Hotuba ya Ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini A Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bazala Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi mbalimbali baada ya Ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini A Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.23/10/