Rais Mwinyi afanya mazungumzo na Sheikh Morari Bapu wa Jumuiya ya Hindu
JamhuriComments Off on Rais Mwinyi afanya mazungumzo na Sheikh Morari Bapu wa Jumuiya ya Hindu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Sheikh Morari Bapu wa Jumuiya ya Hindu na Ujumbe wake kutoka Nchini India, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Sheikh.Morari Bapu wa Jumuiya ya Hindu kutoka Nchini India, alipofika Ikulu na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)