RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakisalimiana na kuagana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea Nchini Oman kwa ziara ya siku nne ya Kikazi Nchini humo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akielekea Nchini Oman kwa Ziara ya Kikazi ya Siku Nne Nchini humo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono na kuwaaga Viongozi mbalimbali wa Serikali na Vyama vya Siasa, wakati akiondoa Nchini akielekea Nchini Oman kwa ziara ya Kikazi ya Siku Nne Nchini humo leo 11-10-2022.(Picha na Ikulu)