Rais mstaafu Kikwete ashiriki mkutano wa Dunia wa Masuala ya Elimu
JamhuriComments Off on Rais mstaafu Kikwete ashiriki mkutano wa Dunia wa Masuala ya Elimu
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete, Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia Masuala ya Elimu Duniani (Global Partnership for Education) – GPE) ameshiriki katika Mkutano wa Mageuzi katika Elimu uliondaliwa na Umoja wa Mataifa, tarehe 19 Septemba, 2022 Jijini New York, Marekani hapa akizungunza na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Philip Mpango wakijadiliana jambo kando ya mkutano huoDk. Jakaya Kikwete Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Anne Beathe Tvinnereim, Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa NorwayMheshimiwa Rais Mstaafu Dk.Jakaya Kikwete na Mwenyekiti wa Bodi ya Global Partnership for Education) Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete na Mhe. António Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wakiwa Katika mkutano huo.