Wananchi wakimsikikliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli eneo Mikumi wakati akiwa njiani kuelekea kwenye uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya kutoka Kidatu hadi Ifakara yenye jumla ya kilometa 66.9 katika sherehe zilizofanyika katika kijiji cha Nyandeo Kidatu mkoani Morogoro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi eneo la Mikumi wakati akiwa njiani kuelekea kwenye uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya kutoka Kidatu hadi Ifakara yenye jumla ya kilometa 66.9 katika sherehe zilizofanyika katika kijiji cha Nyandeo Kidatu mkoani Morogoro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kwa njia ya simu ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Profesa Kitila Mkumbo kuhusu matatizo ya mkandarasi wa ujenzi wa mradi wa maji katika kata ya Kidodi mkoani Morogoro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mtendaji wa eneo hilo akizungumza kwa njia ya simu ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Profesa Kitila Mkumbo kuhusu matatizo ya mkandarasi wa ujenzi wa mradi wa maji katika kata ya Kidodi mkoani Morogoro.
Bendi ya Uluguru Original ikitumbuiza
Wimbo wa Taifa
Sehemu ya wageni waalikwa
Sehemu ya wageni waalikwa
Wabunge na Sehemu ya wageni waalikwa
Wabunge na sehemu ya wageni waalikwa
Makandarasi wasimamizi
Kamati ya ulinzi na usalama
Sehemu ya wageni waalikwa
Sehemu ya wageni wananchi
Sehemu ya wageni wananchi
Sehemu ya wageni wananchi na watendaji
Sehemu ya wageni wananchi
Sehemu ya wageni wananchi
Sehemu ya wageni wananchi
Sehemu ya Wanahabari wa Morogoro wakifuatilia kila kinachoendelea
Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Morogoro Ndg. Innocent Kalogeris akisalimia wananchi
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Stephen Kebwe akisoma ripoti ya mkoa wake
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Joseph Nyamhanga akitambulisha wageni
Mkuu wa Umoja wa Jumuiya ya Ulaya Balozi Roeland van de Geer akitambulishwa
Afisa Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale akisoma muhtasari wa mradi |
Mwakilishi wa DFID nchini Beth Arthy
Mkuu wa Umoja wa Jumuiya ya Ulaya Balozi Roeland van de Geer akiongea
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akiwaalika wabunge wa mkoa wa Morogoro kusalimia wananchi
Wabunge wa Morogoro wakiitikia wito
Mbunge wa Malinyi Mhe. Dkt. Haji Mponda akisalimia wananchi
Wabunge wa Morogoro wakisubiri zamu zao kusalimia wananchi
Mbunge wa Kilombero Mhe. Peter Lijualikali akisalimia wananchi
Mbunge wa Kilombero Mhe. Peter Lijualikali akisalimiana na Rais Dkt. Magufuli
Mbunge wa Mikumi Mhe. Joseph Haule “Profesa J” akisalimia wananchi
Mbunge wa Mikumi Mhe. Joseph Haule “Profesa J” akisalimiana na Rais Dkt. Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Mbunge wa Mikumi Joseph Haule kutumbuiza katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya kutoka Kidatu hadi Ifakara yenye jumla ya kilometa 66.9 pamoja na daraja la mto Ruaha lenye urefu wa mita 130.
Mbunge wa Mikumi Joseph Haule akitumbuiza mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya kutoka Kidatu hadi Ifakara yenye jumla ya kilometa 66.9 pamoja na daraja la mto Ruaha lenye urefu wa mita 130.
Mbunge wa Mvomero Mhe. Suleiman Saddiq akisalimia
Mbunge wa Mvomero Mhe. Suleiman Saddiq akisalimiana na Rais Dkt. Magufuli
Mbunge wa Viti Maalumu Mhe. Dkt. Christine Ishengoma akisalimia
Mbunge wa Viti Maalumu Mhe. Dkt. Christine Ishengoma akisalimiana na Rais Dkt. Magufuli
Mbunge wa Viti Maalumu Mhe. Dkt. Getrude Rwakatare akisalimia
Mbunge wa Viti Maalumu Mhe. Dkt. Getrude Rwakatare akisalimiana na Mama Janeth Magufuli
Mbunge wa Viti Maalumu Mhe. Dkt. Getrude Rwakatare akisalimiana na Rais Dkt. Magufuli
Mbunge wa Mlimba Mhe. Suzan Kiwanga akisalimia wananchi
Mbunge wa Mlimba Mhe. Suzan Kiwanga akifurahia jambo baada ya kusalimiana na Rais Dkt. Magufuli
Mbunge wa Kilosa Mhe. Mbaraka Salim Bawazir akisalimia
Mbunge wa Kilosa Mhe. Mbaraka Salim Bawazir akisalimiana na Rais Dkt Magufuli
Mbunge wa Viti Maalum kupitia Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu Dk Jasmin Tsekwa akisalimia wananchi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mbunge wa Viti Maalum kupitia Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu Dk Jasmin Tsekwa
Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki Mhe. Imary Mgumba akisalimia
Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki Mhe. Imary Mgumba akisalimiana na Rais Dkt Magufuli
Mbunge akisalimia
Mbunge akisalimiana na Rais Dkt Magufuli
Mbunge wa Morogoro mjini Mhe. Abdulazizi Mohamed Abood akisalimia
Mhe. Abood akisogea kusalimiana na Rais Dkt Magufuli
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Miundombinu ya Bunge Mhe Moshi Selemani Kakoso(Mpanda Vijijini) akisalimia wananchi
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Miundombinu ya Bunge Mhe Moshi Selemani Kakoso(Mpanda Vijijini) akisalimiana na Rais Dkt Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa kidatu kabla ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya kutoka Kidatu hadi Ifakara yenye jumla ya kilometa 66.9 pamoja na daraja la kidatu lenye urefu wa mita 130.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akielekea eneo la uwekaji wa jiwe la msingi akiwa na viongozi wengine wakiwemo Mwakilishi wa DFID nchini Beth Arthy anayevuta utepe, Mkuu wa Umoja wa Jumuiya ya Ulaya Balozi Roeland van de Geer pamoja na wabunge mbalimbali wa mkoa wa Morogoro
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo ya mradi toka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale akiwa na viongozi wengine wakiwemo Mwakilishi wa DFID nchini Beth Arthy anayevuta utepe, Mkuu wa Umoja wa Jumuiya ya Ulaya Balozi Roeland van de Geer pamoja na wabunge mbalimbali wa mkoa wa Morogoro
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifunua pazia kuashiria kuwekwa jiwe la msingi pamoja na viongozi wengine wakiwemo Mwakilishi wa DFID nchini Beth Arthy anayevuta utepe, Mkuu wa Umoja wa Jumuiya ya Ulaya Balozi Roeland van de Geer pamoja na wabunge mbalimbali wa mkoa wa Morogoro
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Mwakilishi wa DFID nchini Beth Arthy mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya kutoka Kidatu hadi Ifakara yenye jumla ya kilometa 66.9 katika sherehe zilizofanyika katika kijiji cha Nyandeo Kidatu mkoani Morogoro
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi Ami Mpungwe aliyekuwepo kwenye hafla hio.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe pamoja Mwakilishi wa DFID nchini Beth Arthy kushoto na Mkuu wa Umoja wa Jumuiya ya Ulaya Balozi Roeland van de Geer kulia kuashiria uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya kutoka Kidatu hadi Ifakara yenye jumla ya kilometa 66.9 katika sherehe zilizofanyika katika kijiji cha Nyandeo Kidatu mkoani Morogoro. Wengine katika picha ni Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli watatu kutoka kushoto pamoja viongozi mbalimbali na wabunge wa mkoa wa Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia baada ya kukata utepe pamoja Mwakilishi wa DFID nchini Beth Arthy kushoto na Mkuu wa Umoja wa Jumuiya ya Ulaya Balozi Roeland van de Geer kulia kuashiria uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya kutoka Kidatu hadi Ifakara yenye jumla ya kilometa 66.9 katika sherehe zilizofanyika katika kijiji cha Nyandeo Kidatu mkoani Morogoro. Wengine katika picha ni Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli watatu kutoka kushoto pamoja viongozi mbalimbali na wabunge wa mkoa wa Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja baada ya kuweka jiwe la msingi pamoja na viongozi wengine wakiwemo Mwakilishi wa DFID nchini Beth Arthy anayevuta utepe, Mkuu wa Umoja wa Jumuiya ya Ulaya Balozi Roeland van de Geer pamoja na wabunge mbalimbali wa mkoa wa Morogoro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na baadhi ya wakuu wa wilaya za mkoa wa Morogoro baada ya kuhitimisha hafla hio. Picha zote na IKULU