Rais Dkt. Samia aweka Jiwe la Msingi la ujenzi bandari mpya ya Mbamba Bay
JamhuriComments Off on Rais Dkt. Samia aweka Jiwe la Msingi la ujenzi bandari mpya ya Mbamba Bay
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa bandari mpya ya Mbamba Bay katika Ziwa Nyasa mkoani Ruvuma tarehe 25 Septemba, 2024.