Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
October 31, 2024
MCHANGANYIKO
Rais Dkt. Samia ashiriki mjadala kuhusu Kilimo barani Afrika nchini Marekani
Jamhuri
Comments Off
on Rais Dkt. Samia ashiriki mjadala kuhusu Kilimo barani Afrika nchini Marekani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye mjadala (round tables discussion) kuhusu Kilimo barani Afrika
,
katika Mji wa Des Moines, Iowa nchini Marekani tarehe 30 Oktoba, 2024
.
Mjadala huo ambao uliandaliwa na Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) ulihudhuriwa na viongozi mbalimbali kutoka barani Afrika, Serikali na Sekta binafsi ya Marekani hususan waliopo kwenye sekta ya kilimo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye mjadala (round tables discussion) kuhusu Kilimo Barani Afrikapamoja na Nishati Safi ya Kupikiakatika Mji wa Des Moines, Iowa nchini Marekani tarehe 30 Oktoba, 2024
.
Kushoto ni Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina akimsikiliza. Rais Dkt. Samia alishiriki mjadala huo kando ya mjadala wa Kimataifa wa Norman E. Borlaung ambao umeandaliwa na Taasisi ya World Food Foundation
Viongozi mbalimbali wakifuatilia mjadala kuhusu Kilimo Barani Afrika katika Mji wa Des Moines, Iowa nchini Marekani kando ya mjadala wa Kimataifa wa Norman E. Borlaung ambao umeandaliwa na Taasisi ya World Food Foundation tarehe 30 Oktoba, 2024
.
Post Views:
190
Previous Post
Rais Samia ateta na Mtendaji Mkuu wa Millenium Challenge Corporation
Next Post
Baraza la Afya ya Akili kuanzishwa nchini
TPA bingwa mashindano ya SHIMMUTA 2024
Yanga VS Al Hilal ni kesho
Tanzania yashinda tuzo ya utalii duniani
Kairuki yaja na teknolojia kutibu saratani bila upasuaji
Dk Biteko ahimiza Watanzania kupiga kura Novemba 27, 2024
Habari mpya
TPA bingwa mashindano ya SHIMMUTA 2024
Yanga VS Al Hilal ni kesho
Tanzania yashinda tuzo ya utalii duniani
Kairuki yaja na teknolojia kutibu saratani bila upasuaji
Dk Biteko ahimiza Watanzania kupiga kura Novemba 27, 2024
Sho Madjozi atangaza rasmi kuacha muziki
Rais Dkt. Samia aweka jiwe la msingi ujenzi Msikiti wa Al Ghaith Morogoro
Ndege ya mizigo yaanguka Lithuania, mmoja afariki
Hezbollah yarusha makombora ndani ya Israel baada ya shambulizi la Beirut
Nyumba, gari yako ikikutwa na dawa za kulevya itataifishwa
Kapinga atumia fainali mpira wa miguu kuhamasisha ushiriki uchaguzi Serikali za Mitaa
Wahouthi waisaidia Urusi kuwapeleka Wayemen kupigana Ukraine
Mgombea wa upinzani Yamandu Orsi ashinda urais Uruguay
Shambulizi la droni la Ukraine lazua moto Kaluga, Urusi
Samia atoa kibali ajira walimu 4,000