lRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Majeshi wa kwanza Mstaafu Jenerali Mrisho S. Sarakikya na Familia yake wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Mkoaranga Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha tarehe 20 Agosti, 2023l
Rais Dkt. Samia amtembelea Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Sarakikya
Jamhuri
Comments Off on Rais Dkt. Samia amtembelea Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Sarakikya