Rais Dkt. Samia akizindua maghala na vihenge vya kisasa vya kuhifadhia nafaka vya NFRA Katavi
JamhuriComments Off on Rais Dkt. Samia akizindua maghala na vihenge vya kisasa vya kuhifadhia nafaka vya NFRA Katavi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua maghala na vihenge vya kisasa vya kuhifadhia nafaka vya Wakala wa Taifa wa Hifadhi wa Chakula (NFRA) Mpanda mkoani Katavi leo tarehe 14 Julai, 2024. Viongozi wengine katika picha ni Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, Wakala wa Taifa wa Hifadhi wa Chakula (NFRA) Mhandisi Imani Nzobonaliba.