Rais Dkt. Samia akiwa kwenye uzinduzi wa Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar
JamhuriComments Off on Rais Dkt. Samia akiwa kwenye uzinduzi wa Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar
Matukio mbalimbali wakati wa ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Misufini iliyopo Bumbwini, Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi mara baada ya kufungua Skuli ya Sekondari Misufini iliyopo Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025.Muonekano wa Skuli ya Sekondari Misufini iliyopo Bumbwini Zanzibar pamoja na madarasa mara baada ya kufunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe 08 Januari, 2025.