Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Misufini iliyopo Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Misufini iliyopo
Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua vyumba vya Maabara mara baada ya kufungua Skuli ya Sekondari Misufini iliyopo Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua vyumba vya Kompyuta mara baada ya kufungua Skuli ya Sekondari Misufini iliyopo Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025.