RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mkurugenzi Mkaazi wa UNESCO Kanda ya Afrika Mashariki Prof. Hubert Gijzen (kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 15-6-2023.(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Mkurugenzi Mkaazi wa UNESCO Kanda ya Afrika Mashariki Prof. Hubert Gijzen, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 15-6-2023.(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya Majarida ya UNESCO, kutoka kwa Mkurugenzi Mkaazi wa UNESCO Kanda ya Afrika Mashariki Prof. Hubert Gijzen, baada ya kumkabidhi wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 15-6-2023, na (kulia kwake) Mkurugenzi Mkaazi wa UNESCO Kusini Mwa Afrika Bi.Lidia.Arthur Brito na Mwakilishi Mkaazi wa UNESCO Nchini Tanzania Ndg.Michel Toto.(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhia Majarida ya UNESCO, na Mkurugenzi Mkaazi wa UNESCO Kanda ya Afrika Mashariki Prof. Hubert Gijzen, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 15-6-2023.(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mkurugenzi Mkaazi wa UNESCO Kanda ya Afrika Mashariki Prof, Hubert Gijzen, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 15-6-2023.(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkurugenzi Mkaazi wa UNESCO Kanda ya Afrika Mashariki.Prof Hubert Gijzen, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika leo 15-6-2023 katika ukumbi wa Ikulu akiwa na Ujumbe wake.(Picha na Ikulu)
Post Views: 282