Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
May 31, 2023
Habari Mpya
Rais Dkt. Mwinyi azungumza na mwalikishi Mkaazi wa UNDP Ikulu Zanzibar
Jamhuri
Comments Off
on Rais Dkt. Mwinyi azungumza na mwalikishi Mkaazi wa UNDP Ikulu Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNDP Nchini Tanzania Bi.Christine Musisi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 31-05-2023.(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNDP Nchini Tanzania Bi.Christine Musisi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 31-05-2023.(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNDP Nchini Tanzania Bi. Christine Musisi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 31-5-2023.(Picha na Iku
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNDP Nchini Tanzania Bi. Christine Musisi (kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe wake wa Maofisa wa UNDP, mazungumzo hayo yaliyofanyika leo 31-5-2023, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNDP Nchini Tanzania Bi. Christine Musisi, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na Ujumbe wake,mazungumzo hayo yaliyofanyika leo 31-5-2023, katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Post Views:
468
Previous Post
Mbunge Kabati: Wanawake tushirikiane kumuunga mkono Dkt.Samia
Next Post
Chongolo apokelewa na vilio Kilolo, atoa siku 10 kwa Waziri Aweso
Dk Biteko aridhishwa na ujenzi wa kituo cha Gesi Asilia CNG Ubungo
Bajaji, bodaboda marufuku kufika mjini Januari 20-RC Chalamila
RC Chalamila afanya maandalizi ya Mkutano wa wakuu Afrika wa nishati, akagua miradi Dar
Waziri Fedha aitaka TRA kuwa wakali kwa wafanyabiashara sugu wanaokwepa kodi
Dk Biteko aagiza kituo cha huduma kwa wateja TANESCO kusukwa upya
Habari mpya
Dk Biteko aridhishwa na ujenzi wa kituo cha Gesi Asilia CNG Ubungo
Bajaji, bodaboda marufuku kufika mjini Januari 20-RC Chalamila
RC Chalamila afanya maandalizi ya Mkutano wa wakuu Afrika wa nishati, akagua miradi Dar
Waziri Fedha aitaka TRA kuwa wakali kwa wafanyabiashara sugu wanaokwepa kodi
Dk Biteko aagiza kituo cha huduma kwa wateja TANESCO kusukwa upya
Wakazi Same watakiwa kutunza na kulinda miundombinu inayowekezwa na Serikali
Kundo : Wakazi 180,000 kunufaika na miradi ya maji 35 Pwani
Mashambulizi ya Israel yaua watu 19 Gaza
Tanzania mwenyeji mkutano wa kikanda wa Baraza la viwanja vya ndege Afrika
TRA yawashukuru walipakodi, wadau kwa mwaka 2023/24
Tanzania, Uingereza kushirikiana kuendeleza madini mkakati
‘Uchumi wa Tanzania, Zanzibar kuendelea kuwa wa kuridhisha’
Prof Lipumba : Hali ya demokrasia duniani inaendelea kuporomoka
Rais Mwinyi : Serikali itajenga barabara nyingi Pemba
PPPC yatoa mafunzo ya uwekezaji kupitia ubia kwa madiwani wa Ilemela