Rais Dkt.Mwinyi amtembelea mwanasiasa maarufu Zanzibar
JamhuriComments Off on Rais Dkt.Mwinyi amtembelea mwanasiasa maarufu Zanzibar
Rais Dkt.Mwinyi amtembelea mwanasiasa maarufu ZanzibarRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mwanasiasa na mfanyabiashara maarufu wa Zanzibar, Mhe. Mohammed Raza Daramsi alipofika nyumbani kwake Kibweni Wilaya ya Magharibi “A” Unguja kumtembelea na kumjulia hali yake leo.(Picha na Ikulu).