Rais Dkt.Mwinyi ajumuika na waumini kwenye swala ya Ijumaa katika Masjid Al Swafaa
JamhuriComments Off on Rais Dkt.Mwinyi ajumuika na waumini kwenye swala ya Ijumaa katika Masjid Al Swafaa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi na Waumini wa dini ya Kiislamu wakiitikia dua iliyosomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (wa pili kushoto) mara baada kujumuika katika Swala ya Ijumaa katika Masjid Al Swafaa uliopo Gongoni Wilaya ya Mjini, Mkoa Mjini Magharibi leo.[Picha na Ikulu] 30/12/2022. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waumini wa dini ya Kiislamu mara baada kujumuika katika Swala ya Ijumaa katika Masjid Al Swafaa uliopo Gongoni Wilaya ya Mjini, Mkoa Mjini Magharibi.Wamini wa Dini ya Kiislamu katika Masjid Al Swafaa uliopo Gongoni Wilaya ya Mjini, Mkoa Mjini Magharibi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akizungumza na kutoa salamu kwa Waumini hao mara baada kujumuika katika Swala ya Ijumaa leo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Waumini mbali mbali na Viongozi mara baada ya kujumuikanao katika Swala ya Ijumaa katika Masjid Al Swafaa uliopo Gongoni Wilaya ya Mjini, Mkoa Mjini Magharibi