Rais Dk Samia m akimtunuku Nishani Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda
JamhuriComments Off on Rais Dk Samia m akimtunuku Nishani Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimtunuku Nishani ya Kumbukumbu ya Muungano Daraja la Pili kwa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya Nne Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Aprili, 2025.