Rais Dk Samia azungumza na Rais wa Samsung Ikulu Dar
JamhuriComments Off on Rais Dk Samia azungumza na Rais wa Samsung Ikulu Dar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kusungumza na Rais wa Samsung C & T Corporation Oh Se-chul pamoja na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Oktoba, 2024.